Soma hapa kufahamu namna ya kudhibiti maumivu na sumu ukiwa nyumbani.
NGE-- Maumivu yake ni ya masaa 24 na sumu inadumu kwa muda mfupi, Na Ukumwona ukimuua hapo mwisho wa sumu yake.
Au wanasema kata kimkia chake.
TANDU-- Sumu yake kali inakimbilia kifuani na kooni mpaka kichwani sumu yake...