Habari wakuu!
Kama kichwa cha uzi kinavyojibainisha, kwenye jamii ya leo kumekuwa na mabinti au wanawake wengi wasiotambua thamani yao. Ndo maana leo hii huko mashuleni, vyuoni na makazini mabinti wengi wamejengewa sifa zisizo nzuri.
Mabinti wengi wanaruhusu miili yao kuchezewa na wanaume...