Ikiwa kama mustakhabali wa VITI MAALUMU Ndani ya Chama Utaamuliwa Kwa Rushwa tena
Rushwa ya Wazi Wazi basi hadhi ya Uwakilishi wa kundi Hili maalumu hauna faida yeyote Ile kwetu sisi Wanawake.
Hii ni Moja ya ripoti yenye Ukakasi na inayo vunja moyo Kwa Ustawi wa Wanawake Ndani ya Jamii zetu...