Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limewaita Kamati ya Miss Tanzania pamoja na na Miss Tanzania 2020/21 ambaye amevuliwa taji hilo, Rose Manfere.
Kwa mujibu wa taarifa ya Kaimu Katiba Mtendaji wa Basata, Matiko Mniko, iliyotolewa leo Jumatano Julai 14, 2021 Kamati pamoja na mrembo huyo...