Kuelekea mechi kati ya Timu ya ya Taifa ya wanaume (Taifa Stars), Naibu Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Paul Makonda amesema amepigiwa simu na Watanzania mbalimbali ambao wameahidi kutoa Tsh. 100 kwa kila goli watakalofunga dhidi ya Uganda Desemba 27 na ile ya Tunisia Desemba 30...