Habari za Asubuhi team!!
kabla ya kuanza uzi wangu naomba kuweka sawa mambo yafuatayo;-
1. Sishambulii wala kudogosha au kudhalilisha dini ya KIKIRISTO kwa sababu uzi huu unahusu purely Christian faith.
2. Lengo la mada hii ni.pure curiosity to learn
3. Nahitaji open discussion siyo jaziba...