Askofu Dkt. Isaac Kissiri Laiser wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Magharibi Kati Tabora, ametoa wito kwa Watanzania kusimama imara kutetea haki, akisisitiza kuwa bila misingi ya uadilifu na usawa taifa haliwezi kusonga mbele.
Akihubiri Agosti 24, 2025 katika ibada...