1. Wakuu niliagiza Mazda CX 5 ya 2015, 2,200cc (diesel) August 2024 baada ya mwezi na nusu ikawa imeshafika bongo.
2. Nikajipinda nilkaitoa bandarini. Mziki umekuja kwenye kui-maintain daah msala. December nilienda nayo kijijini sasa kule Barabara zetu sio nzuri siku ikanyesha mvua tope kama...