Tumia unit zako mwenyewe bila kushea na wengine.
Je unaishi kwenye nyumba ya kupanga na kuna changamoto ya matumizi Umeme?
Au wewe ni mmiliki wa Nyumba za kupangisha na kila siku watu wanagombana kwa sababu ya Umeme?
Basi suluhisho limepatikana. Fungia kila mpqngaji Submita ya kisasa...