Uongozi wa Al Nassr umethibitisha kuachana na kocha Stefeno Pioli pamoja na wasaidizi wake.
Pioli alijiunga na Al Nassr mwaka 2024, akikiongoza kikosi cha klabu hiyo kwenye michuano ya Ligi Kuu ya Saudia pamoja na Ligi ya Mabingwa Asia msimu wa 2024/25.
Hata hivyo taarifa kutoka Italia...