Mwanasiasa na Waziri Mstaafu, Sophia Simba, amesema ni wakati muafaka kwa wanawake waliokaa muda mrefu kupitia Viti Maalum Bungeni kuwaachia nafasi vijana ili kuendeleza harakati za uwezeshaji wa wanawake katika siasa.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo Ijumaa Februari...