Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Songolo Mnyonge, amewataka viongozi wa CHADEMA kuacha chokochoko za kisiasa ambazo zinaweza kuhatarisha amani ya nchi, hasa kipindi hiki taifa linapoelekea kwenye uchaguzi. Akizungumza na waandishi wa habari leo baada ya kumaliza uzinduzi wa vijana kuelekea siku ya...