soko mlango mmmoja

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mwanza: Soko la Mlango mmoja lateketea kwa moto

    Moto mkubwa umezuka kwenye soko la Mitumba la Mlango Mmoja Kata ya Mbugani Wilayani Nyamagana jijini Mwanza leo asubuhi Septemba 28, 2018 na kuteketea vibanda vya biashara pamoja na maduka hivyo kusababisha hasara ambayo thamani yake bado hakijafahamika. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza John Mongella...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…