"Jana tarehe 16/03/2025 nilipata wasaa wa kutembelea soko la Samaki la katika Kijiji Cha Mchinga II kilichopo katika Jimbo la Mchinga na kujionea shughuli za biashara ya Samaki zinavyofanyika.
Hivi karibuni, soko hili limepatwa na kadhia ya Mafuriko yaliyopelekea Miundombinu yake kubomoka...