Rais Samia Suluhu Hassan, akiweka jiwe la msingi la ujenzi wa matanki ya kupokea mafuta katika Bandari ya Dar es Salaam, tarehe 03 Machi, 2026 ametoa wito kwa Wizara ya Nishati kuimarisha akiba ya kimkakati ya mafuta ili kuongeza uwezo wa nchi kujilinda dhidi ya misukosuko ya kimataifa na...