Habarini wanajukwaa, leo nmekuja kuwasilisha changamoto na baadhi ya kero katika soko la Buguruni.
1. Soko linamiundo mbinu ya kizamani sana ukilinganisha na idadi ya watu inaowahudumia, ukitazama njia za kupita (kupishana) ndani ya soko kwa sasa ni vichochoro, vizimba vidogo mno kiasi kwamba...