Nchini Nigeria, asilimia 77 ya wanawake hutumia bidhaa za kubadilisha rangi ya ngozi (bleaching), jambo linaloifanya kuwa na kiwango cha juu zaidi cha matumizi ya bidhaa hizo barani Afrika. Aidha, kati ya asilimia 52 hadi 67 ya wanawake huko Dakar, Senegal, wanaripotiwa kutumia bidhaa za...