skanka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Unaijua skanka (Skunk)?

    Nafikiri umeshasikia neno skanka hapa na pale. Nafahamu unaijua kuwa ni bangi na wengine wanadhani skanka ni aina ya madawa ya kulevya tofauti na bangi. Skanka au Skunk ni bangi, lakini kwanini iliitwa Skunk? DISCLAIMER: Mada hii inaletwa kwa lengo la kutoa elimu tu na utambuzi. Napinga...
  2. Issue gani mtu akifanya South Africa anatoboa?

    Ukiachana , na kuuza Skanka , je MTU akifanya issue gani anatoboa SA.?
  3. DCEA: Wanawake waongoza kutumia Skanka, Mapenzi yanatajwa kuwa chanzo

    Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), Aretas James Lyimo amesema wamefanikiwa kukamata Kilogramu 1066.105 za dawa za kulevya,mililita 447 za dawa tiba zenye asili ya kulevya, kuteketeza hekari 157.4 za mashamba ya bangi. Akizungumza na wanahabari...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…