Wakuu
Bwege anazidi kutema nyogo, wakati kifanya mahojiano na Mwanahalisi amesema kutokana na uzembe uliofanyw ana chama chake na kupelekea Luhaga Mpina kuenguliwa kugombea Urais umemfanya achukue maamuzi ya kutoshiriki kampeni yoyote ya ACT Wazalendo popote pale hadi pale Mpina...