Watu wengi hudhani elimu ya nyota (Astrology) na namba (Numerology) ni ushirikina. Lakini kwa kweli, hizi ni taaluma za kale zilizotumiwa na mababu kwa ajili ya kuelewa mwelekeo wa maisha, afya, mafanikio, na mahusiano ya binadamu. Zinatufundisha jinsi mwili na roho huunganishwa na mzunguko wa...