singida black stars

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Singida Black Stars yawabadilisha Uraia wachezaji wanne wa Kigeni na kuwa raia wa Tanzania ili Kukidhi Kanuni

    Singida Black Stars imewabadilisha uraia wachezaji wake wanne wa kigeni na kuwa raia wa Tanzania, Singida imefanya hivyo ili kukidhi kanuni ya kuwa na wachezaji 12 wa kigeni. Wachezaji hao ambao wamebadili uraia ni Emmanuel Keyekeh, Arthur Bada, Damaro Mohamedi na Golikipa Amas Obasogie...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Hawa Singida Black Stars wanatumia mbinu gani kuwapata wachezaji wakubwa na wazuri kwa haraka sana ukilinganisha na Simba na Yanga?

    Kila siku unasikia wamesajili mchezaji fulani, sasa hivi wana uwezo wa kumsajili mchezaji yeyote mkubwa hapa Afrika unayemjua wewe, tena kwa mawazo yangu wanasajili wachezaji wenye vipaji, ujuzi, uwezo na stadi za kucheza soka kuliko hata makapi ya wachezaji wa timu zetu kongwe. Huwa najiuliza...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Wachezaji hawa wa Singida Black Stars wanaweza kuanza kikosi cha Simba Yanga au Azam bila wasiwasi wowote ule

    Wa kwanza ni beki Trab, kuna Maroun Tchakei, Ibrahim Likeyeke, Arthur, Elvas Rupia na Damaro. Hawa jamaa wamekamilika sanaaaaa.
  4. JamiiForums Tanzania Tafakari yangu juu ya mchezo wa jana kati ya singida black stars dhidi ya simba

    Kwanza kabisa jana sijaona burudani ya mpira zaidi ya ubabe na makandamizo kwa walima alizeti wa singida. Hamnza anatoa kona refa anaweka goal kick, kibu anatoa mpira alafu wanarusha wao wenyewe tena, kibendera anaelekea kwake refa wa kati naye anaelekea kwake, umakini mdogo sana. Azam tv nao...
  5. I

    JamiiForums Tanzania Leo Ndo Mtajua maana ya Ubaya Ubwela

    Kwema? Leo Dakika chache Mtajua kauli ya Ubaya Ubwela inakwenda kudhihirika huko Singida Pale Wananchi watakapo toka Uwanjani Wakisonya na kutukana na Kuongea peke yao Baada ya matokeo wasiyoyatalajia Ni hayo kwa sasa Kutoka Hapa Liti Singidani. Baadae jamaani!
  6. JamiiForums Tanzania FULL TIME: Singida Black Stars FC 0-1 Simba SC | NBC Premier League | Liti Stadium | 28.12.2024

    Mtanange mkali Leo. Kinyanganyiro: Ligi Kuu Tanzania Bara - NBC Mwenyeji: Singida Black Stars ya Singida Vs Mgeni : Simba SC ya Dar es salaam Uwanja: CCM Liti Singida. Muda : Saa 10Jioni. Tukutane saa 10 Jioni kwa Maelezo ya mchezo huu. VIKOSI VYA LEO. Updates... 00' Mpira umeanza...
  7. M

    JamiiForums Tanzania First Eleven yangu Simba ikiimaliza Singida Black Stars Jumamosi

    Singida sio siri wana wachezaji wa hatari kuliko hata Azam, ila kama Fahdu atanipangia hivi hawa wapuuzi wanakufa vizuri tu Soma Pia: Kibu Denis arejea na kusafiri na Kikosi cha Simba SC kuwafuata Singida Black Stars 1 Pin Pin Camara 2. Kapombe 3.Tshabalala/Nouma 4.Hamza 5. Che Malone 6...
  8. JamiiForums Tanzania Kibu Denis arejea na kusafiri na Kikosi cha Simba SC kuwafuata Singida Black Stars

    Kibu Denis ni miongoni mwa wachezaji walioungana na kikosi cha timu yao jioni hii kuelekea Singida kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Singida Black Stars. Kibu alikosa michezo miwili ya awali dhidi ya Kagera Sugar na JKT Tanzania kufuatia safari ya kushughulikia matatizo ya...
  9. JamiiForums Tanzania Wauwaji wa Yanga, Tabora United wafunguka madai ya Singida Black Stars kuwataka wachezaji wao wa mkopo

    Uongozi wa Tabora United umekanusha taarifa kuhusu Singida Black Stars kuwahitaji wachezaji wake wawili Faria Ondongo na Morice Chukwu wanakipiga kwenye timu hiyo kwa mkopo. Afisa Habari wa Tabora United, Christina Mwagala amesema bado hawajapokea barua yoyote kutoka Singida BS kuhusu wachezaji...
  10. JamiiForums Tanzania Singida Black Stars Yamuachisha kazi kocha wake Patrick Aussems na Msaidizi Denis Kitambi

    Patrick Aussems na Denis Kitambi Waliwa kichwa
  11. JamiiForums Tanzania Vita ya kuwania nafasi ya pili Yanga , Azam, Singida Nbc premier league si ya kitoto

    Ndugu wana michezo wenzangu, kuna kivumbi cha kukata na shoka kuwania nafasi ya pili nbc premier league, baina ya vilabu vitatu vidogo nchini. Embu cheki msimamo hapo chini kisha tupia comment yako ni nani atamaliza nafasi pili kati ya hivyo vilabu vitatu.
  12. JamiiForums Tanzania Huku akiwa ameshafungashiwa virago, Bodi ya Ligi Kuu yamfungia Gamondi michezo 3 na kumpiga faini

    Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) katika kikao chake cha Novemba 14, 2024 ilipitia mwenendo na matukio mbalimbali ya Ligi na kufanya maamuzi yafuatayo; Aliyekuwa Kocha Mkuu wa klabu ya Young Africans, Miguel Gamondi amefungiwa michezo mitatu (3) na...
  13. JamiiForums Tanzania TFF, mpaka leo hii tukio la Gamondi kumpiga kiongozi wa Singida Black Stars hakuna hatua zozote wala uchunguzi. Kuna nini?

    Bodi ya ligi kamati ya nidhamu zote zipo kimya hawatuelezi hatua gani wamemchukulia kocha wa yanga Gamondi kwa kitendo cha kumpiga kiongozi mwenzie mbele ya kamera za azam tv kila mmoja anaona na mpaka leo anaingia kwenye mechi ya tatu bila adhabu wala tamko. TFF mtueleze nini kimejificha au...
  14. JamiiForums Tanzania Fatema Dewji aula Singida Black Stars, awa mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi akiongozwa na Omary Kaaya

    Wadau wa Soka la Bongo, Mmesikia huko? Fatema Dewji ambaye ni mdogo wa Mohammed 'Mo' Dewji, ameteuliwa kuwa mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Singida Black Stars. Wapo Omary Kaaya, Athumani Kihamia, Hussein Nyika wote wamewahi kuitumikia Yanga na kufanya Klabu hiyo ya Walima Alizeti kuwa kama...
  15. JamiiForums Tanzania Vipi tuendelee Kuchekana baada ya Matokeo ya Leo au sasa kila Mtu ashike Adabu zake na ajue kuwa Mpira huwa Unadunda?

    Yanga SC Kamfunga Simba SC Simba SC Kamfunga Azam FC Azam FC Kamfunga Yanga SC Imeisha hiyo.
  16. JamiiForums Tanzania Si tulisema hatufungwi na Uwanja wa Chamazi ni wetu Kinyota je, leo imekuwaje?

    Asante Mungu
  17. JamiiForums Tanzania Yaani bora kidooogo uwaamini Singida Black Stars FC ikicheza na Yanga SC kuliko Wanafiki wa leo Azam FC

    Tegemeeni kumuona Afisa Habari mwana Yanga SC lia lia Hashim Ibwe akizuga Kulia, kulalamikia Mwamuzi na Kuumia kwa Kipigo watakachokipata kutoka kwa Yanga SC leo jioni / usiku huku Moyoni mwake na Rohoni kwake Akifurahia hakuna mfano. Wale wana Simba SC Wenzangu hapa JamiiForums mnaodhani Azam...
  18. JamiiForums Tanzania Yaani bora kidooogo uwaamini Singida Black Stars FC ikicheza na Yanga SC kuliko Wanafiki wa leo Azam FC

    Tegemeeni kumuona Afisa Habari mwana Yanga SC lia lia Hashim Ibwe akizuga Kulia, kulalamikia Mwamuzi na Kuumia kwa Kipigo watakachokipata kutoka kwa Yanga SC leo jioni / usiku huku Moyoni mwake na Rohoni kwake Akifurahia hakuna mfano. Wale wana Simba SC Wenzangu hapa JamiiForums mnaodhani Azam...
  19. JamiiForums Tanzania Yaani bora kidooogo uwaamini Singida Black Stars FC ikicheza na Yanga SC kuliko Wanafiki wa leo Azam FC

    Tegemeeni kumuona Afisa Habari mwana Yanga SC lia lia Hashim Ibwe akizuga Kulia, kulalamikia Mwamuzi na Kuumia kwa Kipigo watakachokipata kutoka kwa Yanga SC leo jioni / usiku huku Moyoni mwake na Rohoni kwake Akifurahia hakuna mfano. Wale wana Simba SC Wenzangu hapa JamiiForums mnaodhani Azam...
  20. JamiiForums Tanzania Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe anavyosema kuwa Msimu huu Singida Black Stars FC wanajituma wenyewe na hawasaidiwi na Mtu kamaanisha nini labda?

    Na ndiyo maana baada ya Kuugundua huu Ujuha wa NBC Premier League nimerejea Kuishangilia Liverpool yangu EPL.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…