Kikosi cha mabingwa wa Tanzania Bara Yanga, kimeondoka jijini Dar es Salaam leo Alhamini, Oktoba 16, kuelekea Malawi tayari kwa mchezo wa mkondo wa kwanza wa raundi wa pili Ligi ya Mabingwa Afrika, utakaopigwa keshokutwa Jumamosi, Oktoba 18.
Mshindi wa jumla wa mchezo huo atatinga hatua ya...