Wasaalam wanajukwaa.
Kuelekea Siku ya Wajane Duniani tarehe 23 Juni 2024, fahamu machache tafadhali 👇🇹🇿
HISTORIA; Siku ya Wajane Duniani huadhimishwa tarehe 23 Juni kila mwaka ambapo, iliasisiwa na Bw. Lord Loomba aliyeanzisha Taasisi ya Loomba mwaka 2005 baada ya baba yake kufariki tarehe 23...