siku ya samia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. W

    PreGE2025 Wakuu kumbe kuna siku ya Samia na hatuambiani?

    Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule ametangaza kuwa maadhimisho ya Siku ya Samia mwaka huu yatakuwa ya kipekee na ya kitofauti. Amesema kesho Juni 3, 2025, badala ya kukusanya watu wote ukumbini kama walivyokuwa wanafanya, kwa kesho siku hiyo itaadhimishwa kila kata katika Mkoa wa Dodoma...
  2. PreGE2025 Machi 8 tunaadhimisha Siku ya Wanawake au Siku ya Samia? Picha zake kutapakaa kwenye vitenge vya maadhimisho ni ili iwe nini?

    Wakuu, Hii ni kali. Yaani kila kitu sasa hivi ni Samia, Samia, Samia! Kwani kampeni zimeanza wengine hatuna taarifa? Msajili wa Vyama vya Siasa ni zaidi ya 0. Kuna maana gani ya kuwa hapo ofisini kama msumeno wako unakata sehemu moja tu wengine haufiki? Pia soma: Kutakuwa na sare ya wanawake...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…