Wakuu!
Leo ni Siku ya Kimataifa ya Bia, kinywaji cha zamani zaidi duniani.
Siku hii ya Kimataifa ilianzishwa mwaka 2007 na Jesse Avshalomov huko Santa Cruz, California. Siku hii husherehekea ladha mbalimbali za bia kutoka kote duniani, kuwatambua na kuwashukuru watengenezaji wa bia, wahudumu...