Kijana unaeishinda humuJF ukisifia kwa mapambio mbalimbali, hiyo sio tiketi ya wewe kupata nafasi yoyote serikalini au uongozi wowote serikalini, hizi ndio sifa kuu mbili zitakazoweshesha kukwaa uteuzi;
Sifa ya kwanza uwe na mchango wowote kwenye jamii yako, yaani jamii inufaike kwa uwepo wako...