siasa za hoja

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Siasa za 2015, kurudi nyuma, ndizo zilikuwa siasa za hoja, na si hizi za kuitana chawa na nyumbu. Hizi ni za watu ambao hawajui siasa na uongozi!

    Naona siasa za HOJA Kama either zimekufa au watu wameacha kabisa kupambana na tatizo Ila wanapambana na MTU aliyeibua tatizo inafikirisha KITENDO CHA WATU KUTUKANA MATUSI NI ISHARA KUWA UWEZO WA WATU KUJADILI HOJA NDO UNAELEKEA MWISHO KAMA SIO KUFA KABISA Movement yoyote haiwezi ikawa na uhai...
  2. PreGE2025 Chama cha ADA TADEA chatangaza wanawake na wenye ulemavu watakaojitokeza kugombea watachukua fomu bure

    Chama cha ADA TADEA kimesema kuwa wanawake na wenye ulemavu watakaojitokeza kuwania nafasi mbalimbali za uongozi katika uchaguzi mkuu mwaka huu, watachukua fomu za kuwania nafasi hizo bure. Akizungunza na wanachama na viongozi mbalimbali wa chama hicho wilayani Maswa mkoani Simiyu, katibu mkuu...
  3. CCM hawana uwezo wa kufanya siasa za hoja

    Kwa hizi kauli kwamba Mtandao wa Twitter X ifungiwe, nikudhihirisha CCM hawana uwezo wa hoja tena. Ndio sababu kukimbilia kufunga Majukwaa ya ukosoaji. Kwanamna CCM ilivyo, sio chama cha siasa tena bali Genge la Wahuni tu lakutafuna Nchi. Pauline Gekul alitia mtu chupa matokoni, RC mmoja naye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…