siasa za cccm

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. PreGE2025 Mfumo wa CCM na Hatari ya Mwenyekiti wa CCM , Kuwa Rais wa Nchi

    Mfumo wa kisiasa nchini Tanzania unakabiliwa na changamoto kubwa, hasa kutokana na ukweli kwamba Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndiye Rais wa nchi. Huu ni muundo unaoweza kuleta hatari kubwa kwa utawala bora na demokrasia. Katika hali hii, tunapaswa kuangalia athari za mfumo huu, hasa...
  2. CCM Library: Vihoja vya WanaCCM wakiwa kwenye harakati za kuomba kura na kusaka teuzi!

    Wakuu, Wote tunajua kuwa Uchaguzi umekaribia na CCM kama kawaida wataanza kufanya vituko ili kupata huruma za wananchi. Kuelekea Oktoba Makada wa CCM wataanza kuosha vyombo, kuruka sarakasi, kupiga magoti n.k Tujumuike hapa kuweka picha na vibonzo kuelekea mwezi Oktoba
  3. J

    Tundu Lisu: Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa iliundwa Ili Kudhibiti Upinzani ndio sababu CCM haijasajiliwa na Msajili hivyo hawezi kuwafanya lolote

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Antipas Lisu amesema ukisoma sheria ya Vyama vya Siasa utagundua Msajili wa Vyama vya Siasa hana nguvu yoyote ya kuishughulikia CCM kwa sababu haikusajiliwa na ofisi yake Lisu amesema CCM ilisajiliwa kwa sheria ya mkoloni wakati ikiwa TANU na ndivyo ilivyo...
  4. PreGE2025 Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika yuko wapi?

    Wanajamvi, huyu Mwamba John Mnyika ambaye ni Katibu Mkuu wa CHADEMA amekuwa kimya sana hivi sasa! Haonekani mara kwa mara kwenye mikutano ya chama mikoani akiwa na viongozi wengine, Je nini kimempata? Hata wakati ule CHADEMA walivyotangaza maandamano katika mikoa tofauti hakuonekana sana...
  5. D

    Chadema hawajui kula na kipofu sijui shida ni elimu ndogo au?

    Rais Samia alipoingia madarakani alionesha kukerwa na udictator wa Magufuli wa kukataza siasa za upinzani ispokuwa siasa zibaki zinafanywa na ccm tu. Hapo tukaona mikutano yote ilizimwa. Samia akasema no katiba lazima ifuatwe. Badala ya CHADEMA kuona sasa mwanga umeonekana mana siasa ni ajira...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…