Ni muda muafaka sasa kuanza kuzungumza siasa vijiweni, vijiwe vya kahawa, sehemu za biashara, migahawani, kwenye vyombo vya usafiri na hata kwenye mikusanyiko.
Huu upuuzi wa kuogopesha Watanzania kila siku mpaka lini?
Huu utaratibu ni mzuri, kama mtu ana hoja ya kupinga uongozi uliopo...