Chama cha Mapinduzi (CCM)mkoa wa Kilimanjaro, kimejibu mashambulizi yaliyoelekezwa kwa chama hicho na serikali kutoka kwa viongozi wa chama cha Demokrasia na Maendeleo(Chadema), Mwenyekiti Freeman Mbowe na mwenyekiti wa Kanda, Godbles Lema.
Vigogo hao wa chama cha upinzani walifanya mikutano...