Vijana 18 kutoka nchi mbalimbali watakaoshiriki mashindano makubwa ya Qurani yanayohusisha mabara yote duniani wametambulishwa leo Ijumaa, Februari 27, kwa waumini waliosali katika Msikiti wa Jamiul Nurul Hikma.
Mashindano hayo, yaliyozinduliwa Februari 1, 2026, na Makamu wa Pili wa Rais wa...