Serikali imeazimia kutumia Shilingi Bilioni 161. 3 za Mfuko wa pamoja wa Afya kwa ajili ya kuboresha na kuimarisha mifumo ya afya nchini ili kutoa huduma bora za afya ya msingi kwa wananchi sambamba na kupunguza vifo vya watoto vitokanavyo na uzazi na kuimarisha huduma za bima ya afya kwa wote...