Ndugu zangu.
kwanza kabisa Nipende kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa zawadi aliyonijalia maishani mwangu ..
Pili Nipende kuwashukuru wana jf wote kwa mawazo yao na ushauri wao kuhusu changamoto aliyokua anaipitia mke wangu..
Tatu.. salamu hizi za shukrani ziende kwa mwanadada mmoja aliyejitolea...