Naona Sheikh anaendelea kujimaliza tu!
Amezungumza kwa namna ya methali sana moja akisema kwamba mbwa hata ukivalisha mkufu atabaki tu kuwa mbwa na mwingine kasema hao mbwa kuna watu wamewapa kiburi cha kukutukana wewe Rais Samia.
Akamalizia kusema mama umewafanyia hisiani na wanajijua wenyewe...