Makamu Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maridhiano Dar es Salaam, Sheikh Mohamed Mawinda, amesea kauli yake kuhusu wanaovunja amai nchini aliyoitoa Julai 5, 2025 haikumaanisha kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu auawe.
Akizungumza katika uzinduzi wa kanisa la Arise and Shine uliofanyika Julai 5...