Mgombea Udiwani kupitia Chama cha National League for Democracy (NLD) katika Kata ya Kinyerezi, Halmashauri ya Wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam, Seleman Shimbi, anadaiwa kutoweka na hajulikani alipo kwa zaidi ya siku sita sasa.
Katibu Mkuu wa chama hicho, ambaye pia ni Mgombea Urais, Doyo...