seleman bungara

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. F

    seleman bungara

    seleman bungara bwege amefariki dunia
  2. TANZIA Seleman Said Bungara (Bwege) afariki dunia

    Aliewahi kuwa mbunge wa bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania jimbo la kilwa kupitia CUF ndugu seleman said bungala amefariki dunia leo akiwa hospital ambako alikuwa akipatiwa matibabu. 18 November 1961 - 30 Machi 2026 Pia soma Suleiman Bungara (BWEGE) Mbunge wa Kilwa Kusini: "Kwaheri...
  3. Ujumbe wa Seleman Bungara '' Bwege'' kwenda kwa Zitto Kabwe

    Mbunge wa zamani wa Kilwa Kusini Seleman Bungara 'Bwege' ameandika kwenye mitandao ya kijamii na kueleza kuwa masikitiko yake ya kutomuona Zitto Kabwe, Kiongozi mstaafu wa Chama cha ACT-Wazalendo. "Tunajua Tundu Lissu ni rafiki yako wa karibu sana alipopigwa risasi 16 ulisafiri kwenda Kenya...
  4. GE2025 Bwege: Dalili zote zinaashiria Mbowe hayupo CHADEMA

    Seleman Bungara (Bwege), aliyewahi kuwa Mbunge wa Kilwa Kusini, anasema "Dalili zote Mbowe hayupo CHADEMA" Soma > Bwege: Polepole Kathibitisha CCM ndiyo tatizo, inavunja Katiba ya Chama na Tanzania na inadharau maoni ya Watanzania
  5. GE2025 Bwege: Polepole Kathibitisha CCM ndiyo tatizo, inavunja Katiba ya Chama na Tanzania na inadharau maoni ya Watanzania

    Seleman Bungara (Bwege), aliyewahi kuwa Mbunge wa Kilwa Kusini, amesema hadharau kile alichokisema Humphrey Polepole, lakini pia anampongeza.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…