Akichangia Bungeni Jijini Dodoma Hotuba ya Bajeti Kuu la Serikali ya Ofisi ya Waziri Mkuu Tanzania, Mbunge wa Jimbo la Mpanda Mjini, Mhe. Sebastian Simon Kapufi ametoa wito kwa Serikali kuwaangalia vijana ili wasiwe tegemezi badala yake wawe nguvu kazi ya Taifa.
"Idadi ya Watanzania ni...