Majalio Paul Kyara, mgombea urais wa Tanzania na Katibu Mkuu wa chama cha Sauti ya Umma (SAU), amepiga kura leo katika kituo cha kupigia kura cha Mbuyuni Changanyikeni, Dar es Salaam.
Kyara aliwasili katika kituo hicho akiwa na mkewe, na wote walishiriki katika zoezi hilo la kidemokrasia...