SANDUKU LA AGANO
Nadhani ushawahi kusikia neno Sanduku la Agano, lakini huenda hujui hasa ni kitu gani. Sasa leo wacha nikujulishe kama ifuatavyo:
Sanduku la Agano lilikuwa ni sanduku takatifu ambalo Waisraeli waliamuriwa na Mungu kupitia Musa walitengeneze kufuatana na maagizo aliyowapa...