Samia alitoa ahadi kedekede za kutekelez ndani ya siku 100.
Mpaka leo zimeyoyoma karibia siku 50, yaani %50 ya siku 100 kutekeleza aliyoyahaidi majukwaani.
Je, ametimiza yapi kati ya haya machache aliyojigamba kuyafanya? 😆😆
Mfumo wa Bima ya Afya kwa Wote, kwa awamu ya majaribio
kugharimia...