Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na pia Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji ya Jumuiya ya Wazazi Mkoa wa Dodoma, Ndugu Halima White Zuberi, amesema kuwa kwa mshikamano wa wakazi wa Dodoma na wanachama wa CCM, watahakikisha chama hicho kinapata ushindi mkubwa katika Uchaguzi...