samia ashinda urais

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. PostGE2025 Buruhani: Ushawishi wa CCM sasa ni mkubwa kuliko wakati wowote, Samia alishinda kwa 97%

    Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Mkoa wa Kagera, Faris Buruhani, amesema hayo Februari 14, 2026, wakati akihojiwa na Chief Odemba kupitia kipindi cha Medani Kuu. "Ushawishi wa CCM kwasasa ni mkubwa kuliko wakati wowote, Samia alishinda kwa 97%, pia idadi ya watu waliotoka kwenda...
  2. PostGE2025 Rais Samia: Mmenipa heshima kubwa mno! Ulimwengu unauliza, “Kwanini asilimia 97?” Nasema natamani mngekuwepo, mkaona

    Wakuu, Kwani nyinyi mliokuwepo mliona nini? 🤕 == Rais Samia amewashukuru wananchi wa Mikoa ya Arusha na Kilimanjaro kwa imani kubwa waliyompatia katika uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, akiahidi kurejea tena Mkoani Arusha kutoa shukrani zake kwa wananchi. Samia amesema hayo Ijumaa Novemba...
  3. GE2025 Samia eti anasubiri atangazwe, sasa akitangazwa nini kitabadilika na ataongoza wakina nani?

    Huyu Samia ni laana, eti anasubiri atangazwe, sasa akishatangazwa nini kitabadilika na ataongoza wakina nani? Sisi tumemkataaa, sababu kuu za maandamano lazima zizingatiwe sio ombi ni lazima.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…