Wakuu
Picha za leo kwenye uzinduzi wa Jengo la Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa ambalo pia ndiyo Makao Makuu ya JWTZ na Wizara ya Ulinzi iliyopigwa na Ikulu zikimuonyesha amepungua sana! Tofauti na picha zake nyingi.
Picha hii inaonyesha Rais akiwa tofauti kimuonekano ukilinganisha na hizi za leo