Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan, akiwa njiani kuelekea ofisi za Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) kuchukua fomu kuelekea ya Urais, Wananchi wa Chamwino wamemchangia Tsh. 200,000.
Baada ya kuchangiwa, Rais Samia amesema “Nawashukuru kwa kuja...