samandito gombo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GE2025 Gombo: Nikuwa Rais katiba mpya itakuwa ndani ya siku 100

    MGOMBEA Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia (CUF) Samandito Gombo amesema siku 100 baada ya kuchaguliwa kuwa Rais atahakikisha anaanzisha mchakato wa katiba mpya na itakuwa ni siku ya kwanza baada ya kuapishwa. Gombo aliyasema hayo leo wakati wa mkutano wake na waandishi wa habari...
  2. GE2025 Msafara wa Gombo wasimamishwa na wananchi Geita

    Msafara Wa Mgombea Urais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania Kupitia Chama Cha Wananchi CUF Gombo Samandito Gombo Ulivyosimamishwa Na Mamia Ya Wananchi Wa Kijiji Cha Kasota, Kata Ya Bugurura, Wilaya Ya Geita Vijijini, Mkoani Geita. Soma pia: Mgombea Urais Samandito Gombo (CUF): Tutahakikisha...
  3. GE2025 Mgombea Urais Samandito Gombo (CUF): Tutahakikisha haki bila ubaguzi kwa wenye nacho na wasio nacho

    Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Wananchi (CUF), Samandito Gombo, akiambatana na Mgombea wake mwenza Husna Abdallah, leo Agosti 13, 2025, amechukua fomu ya kuteuliwa kugombea urais katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025. Akizungumza na wanahabari mara baada ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…