Tanzania na nchi nyingi za ulimwengu huu zinategemea vyama vya siasa kuzalisha viongozi wa kitaifa
Vyama vya siasa vina siasa ndani ya chama na vina siasa dhidi ya vyama vingine shindani hivyo kuna wakati kwao kipaumbele ni kuyapata madaraka pasipo kujali sana hulka, mitazamo, nguvu, wala uwezo...