Abdallah Nyaligwa, leo Juni 30,2025 amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwania Ubunge wa Jimbo Jipya la Itwangi, ambalo limegawanywa kutoka Jimbo la Solwa.
Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu 2025
Nyaligwa mzaliwa wa Itwangi kutoka familia...