Nimekua nikifuatilia kwa siku nyingi Baadhi wa watumishi wa Umma kuchukua Salary Advance Kwenye Taasisi mbalimbali za Pesa hasa Mabenki,
Kiukweli Watumishi Huwaambii Kitu kuhusu salary Advance Hata kama mshahara umebaki wiki moja Yeye anachukua ili aje kukatwa Asilimia 5 ya Mshahara wake na...