Watu hawaelewi kwamba kinachotokea sasa kwa Pdidy n nguvu ya Deep state na Illuminate. Wanakupa nguvu then wanachukua kukuonesha ukizingua tunachukua. Walianza na R kelly. Saizi wako na Pdidy.
Maswali ya kujiuliza: Je, n Pdidy alikua pekee yake HAPANA. Kuna watu wengi mabilionea waliokua...